KAMP
UNIzausafiManispaaya Ilalazime kab idhiw a jukumu lakukamataw ana nchiwanaoc
hafuamazingir anakuw atozafaini ya papokw apa poya sh. 50,000 ili kukomes hatab
iahiy o.ukumul akuzi ka bidhi kampunihizokusimamia s
ualalausafilinatokan a na wa nanch i w engikuwa na elimu ndogo yausafinamazin
gira.
Akito atamko k wawaandishi wahabari Dar esS alaamjan a wakatiKi kundichaVijana
waKani sa laUni versal wak ifanyau safi eneolaufu k we,MkuuwaIdaray aUsafis
hajiIlala, Samweli Bub egwa , a lisemaman ispaaimefikiahatua hiyoy aku zikabidhi
ka mpunizausafij ukum uh ilokutokananawananc hi kushindwakuzing atiakanuni zausa
fi.“Tumew apajuk umuhi lila kuw akam atawachafuzi wa maz
ingira siokwakam puni hizozatakapekeyakehatawewe aumimi unaruhusiwakumk ama ta
mtuana yechafua mazingira ambapou kimfi kishakat ikaofisi yoyote y aOfisaMten
dajiwa KataauHalmash auri atato zwaf ainiyash, 50,000 yapapokwapapo, ”alise ma
na ku ongeza k uwaanay eka ma tamtuhuyoanapewash. 20 ,000nash.30 ,000
inaingiaman ispaa,”a lisema.
Bubeg waalisema sheriahiyo kwa Ila la imesh aanzaku tum
ikakwabaadhi yakata zakatika tiyamji na b aadayezitafikia kata za pembezoni kwa
lengo la kuweka mji wao katika hali ya usafi.
A
l i s e m a m a n i s p a a h i y o wameshazindua kampeni endelevu ya usafi na
ili mji huo uweze kuwa msafi zaidi kazi ya kukamata wachafuzi wa mazingira ni ya
wadau wote.Aliwataka wananchi washirikiane na halmashauri hiyo ili mji
huo uweze kuwa kivutio kama ilivyo kwa miji mingine inayoongoza kwa usafi
nchini.
Pia aliwataka wananchi kujenga tabia ya kuchukia uchafu na
kuzingatia usafi wa mazingira wanayoishi, kwani uchafuzi wa mazingira
unasababisha mlipuko wa magonjwa mbalimbali
Chanzo ( Majira - Heri Shaaban)
No comments:
Post a Comment